Toto Junction Exclusive Clothing
Pata hii nguo kuanzia size 24 (Miaka 3-4 ) mpaka 36 (Miaka 9-10) Pendeza ukivaa hii gauni ya kipekee. Imetengenezwa kwa kitambaa bora. Inafaa kwa kuvaa kanisani, birthday, Siku kuu na sherehe zengine. Karibu. Bofya kuwasiliana kwa Whatsapp